KUNA UWEZEKANO KANUMBA ALIWAHI KUWA MFUASI WA DINI YA SHETANI / FREEMASON!!?? JE WAMJUA ALIYEMWACHIA KIJITI ??? - Udaku Magazine™






Ni sababu gani nasema hivi kwani kabla na baada ya kifo chake, Steven kanumba muigizaji mahiri wa filamu nchini, kulikuwa na fununu eti kwamba mchizi kajiunga na dini mojawapo ya kishetani inayokuja juu duniani kote {FREEMANSONY"  Na mpaka sasa ndio uvumi uliobaki mitaani kwamba eti Freemason wameamua kumchukua baada ya kwenda kinyume na masharti flan flani, design kama amekisaliti chama kilichompatia umaarufu na uwezi wa kushine kuliko msanii yeyote yule kwa bongo hii.
"Je niamini fununu hizi?, kwani ni nani alizianzisha?, na kama alimess na freemason ni kwa nini wakati walimfanya star?, kwani kinafreemason ni kina nani? na kwa sasa kitaani baada ya kifo cha The Great wameudate fununu hizi na wanaelendelea kushare bila ya wasiwasi, kwamba eti kuna mtu kakabidhiwa madaraka kwa sababu ya kanumba kumbwela mbwela....
Baada ya kufuatilia sana nimezipata picha ambazo inasemekana ni alama za kifreemason na inasemwkana eti na yeye alikuwa akizitumia, mi sijaamua kwani bada sielewi ni nini maana ya hii kitu sasa mwenzangu hebu angalia picha hizi halafu utaniambia kwamba huyu jamaa kweli alikuwa ni mwanachama au wamemzushia ...!


                                    Hawa ni baadhi ya viongozi wanaodaiwa ni wanachama pia
                                         hiyo ni pyramid ambayo inaheshimiwa sana na mwanachama yeyote yule


                                            Hapa ni kanumba naye ameweka hiyo alama.


                        Collin powel naye anadaiwa kuwemo.


                       Hapa ni THE GREAT nAYE ........... mmmmmh!

Haya hebu niambieni unamwelezaje the GREAT ????



     

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post