RAY C AFUNGUKA MARA BAADA YA LORD EYES KUSHIKWA KWA TUHUMA ZA WIZI, SOMA HAPA RAY C AFUNGUKA MARA BAADA YA LORD EYES KUSHIKWA KWA TUHUMA ZA WIZI, SOMA HAPA
habayloveHabay all info-
0
Baada
ya Lord Eyes kukamatwa kwa tuhuma za wizi, msanii wa kizazi kipya
aliyekuwa mpenzi wake Ray C afunguka na kumuomba msanii huyo kubadilika,
na huu ndio ujumbe aliouandika muda mchache kupitia account yake ya
Instagram