Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

VICTORIA KIMANI AKANA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MR. NGOLOLO (DIAMOND PLATNUMZ), SOMA HAPA


Msanii wa Bongo Flava hapa nchini Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka Mr. Ngololo alikunusha tetesi za kuwa na mahusiano na mwimbaji kutoka pande za Kenya Victoria Kimani baada ya kukutana hivi karibuni Afrika Kusini.

clip_image001Tetesi hizo zilikuja baada ya kupiga picha ya pamoja wakati walivyoungana na wasanii wengine wa kubwa wa Barani Afrika kwa ajili ya ‘One Campaign’.
Victoria ambaye makazi nchini Nigeria na yeye ametoa yake baada ya kufanaya mahojiano na Nairobi News alisema Mimi sijui hizo tetesi zimetoka wapi nimekutana na Diamond mara moja tu tulipokuwa tunarekodi wimbo wa pamoja wa One Campaign huko Afrika Kusini wiki mbili zilizopita, pia siana namba yake na sijawahi kuwasiliana na nae toka tulivyokutana na Afrika Kusini.”

Post a Comment

0 Comments