HALIMA KIMWANA AFUNGUKA MAKUBWA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND. SOMA HAPA




DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).
“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima -

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post