Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Hata kama akifa kesho: Huyu ndio msanii Diamond anamuaminia kuipeperusha bendera ya Tanzania kimuziki


Watu wote tunajua kuwa Diamond ni mmoja wa wasanii wanaoipeperusha bendera ya Tanzania ki-muziki katika nchi mbali mbalii nje na ndani ya Africa, kwa kufanya Collable na wasanii wa nje ya Tanzania, kwa kutengeneza video zenye quality ya juu na kusababisha kuchezwa katika Tv za Nje ya Africa nk. lakini huyu ndio msanii ambae yeye anamuaminia , na hata kudiriki kumuandika katika acc yake ya Instagram kuwa ndio msanii atakaeipeperusha bendera ta Tanzania hata kama yeye atakufa kesho




diamondplatnumz 
2 hours ago
Moja ya watu ambao naamini hata NIKIFA kesho, Roho yangu itakuwa na amani ya kuamini kwamba kuna mtu ambae anaipeperusha vyema bendera ya Nchi yangu kupitia muziki... you jus call him @ommydimpoz ila wacha mi nimuite Kibonde..! "Alisema DIMOND.

Post a Comment

0 Comments