
"So proud to call you my woman, its official" Ameandika star huyo kwenye picha inayomuonesha akiwa na mrembo huyo katika pozi la mahaba, aliyoiweka faceboo.
Wakati huohuo Hemedi ameweka wazi ujio wa singo yake mpya On my wedding Day,
"So proud to announce my new coming single"
Kama kweli HEMEDI a.k.a PHD ataenda kuoa hivi karibuni basi wasanii wengine ambao bado hawana mipango ya kuoa itabidi wajipangeeeeeeee!