Hiki ndio kiatu cha Cristiano Ronaldo alichovaa juzi vs Bayern Munich na kuvunja hii rekodi






Usiku wa jana kwenye game ya ligi ya mabingwa ulaya Real Madrid vs Bayern Munich mshambuliaji Cristiano Ronaldo alirudi uwanjani baada ya kukosekana kwa wiki mbili ambapo pamoja na kurudi kwake na kuisaidia timu kushinda, alitengeneza headlines kwa kiatu kipya cha kucheza alichovaa.

Ni kiatu kipya alichotengenezewa na kampuni ya Nike kilichotengenzwa kwa kuwekwa rangi ilitokana na dhahabu na ngozi nyeupe kilianza kuuzwa jana kwenye mtandao wa nike.com lakini ndani ya muda mfupi sana tayari pea zote 100 zilikua zimenunuliwa.



Kiatu kimepewa jina la mercurial vapor ix cr7 white / black / gold kilikuwa kikiuzwa kwa kiasi cha 310 USD (235 Euro)
.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post