HUYU HAPA NDIYO KAKABIDHIWA MIKOBA YA MOYES ALIYETIMULIWA KAZI LEO



Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa  kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo. 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post