When your are talking about the super stars artist of Tanzania, basi kiukweli hutaacha kumtaja wema sepetu na diamond the platnumz, kiukweli the guys are hot and they know how to play with mass, Hizo nguo unazoziona hapo juu zimeshonwa na manager wa wema sepetu Martin kadinda ambaye pia ni designer mkubwa wa diamond the platnumz kwenye vazi la single button, kiukweli zimekaa poa mpaka blog ya makubwa haya ikaamua kutafuta the whole idea ya mavazi hayo. As we know that this guys wapo kwenye relationship ya mda mrefu almost for years, na wamekuwa wakigombana na kurudiana but for know wamesettle, So martin kadinda akaamua kushona nguo hizo na kupropose kwamba ziwe ndo nguo zao za harusi na akasuggest wavae kwenye sandolf yao kwani kiukweli zimewapendeza sana n the cloth look lovely to them, eti jamany muonekano wao ukoje ?
0 Comments