wewe unafikiri nani mkali ka mapozi ya picha ?

A.



                                                   Benpol






                          Diamond plutnum

Leo nimekutumia hawa wawili, na nimetuma baadhi tu ya picha zao amba zo umeshawahi kuziona, nje ya picha hizi nilizotuma nataka wewe uniambie ni nani unaona anamtikisa mwenzake kwa kupiga picha zenye mapozi mazuri.. na sio mavazi mi nasema mapozi mazuri ya picha je ni nani unaona anamtikisa mwenzake ...?

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post