Bongo Movies: Picha za mwigizaji Sabby Angel zawa gumzo mitandaoni nchini Kenya

Muigizaji wa Bongo Movies, Salma Tamim (Sabby Angel) ambaye kwasasa anakuja kwa kasi kwenye tasnia ya uigizaji amezua gumzo kubwa sana kwenye mitandaoni ususani blogs maarufu za udaku nchini Kenya baadaya ya picha zake alizopiga akiwa hana nguo ya juu (topless) kusambaa mitandaoni ..Picha hizo alipiga kwenye phostostudio za huko nchini Kenya. Wakenya  wengi wameonekana kuvutiwa na kumsifia kwajinsi alivyo tokelezea...Jionee mwenyewe picha hizo!!!

 
 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post