Sasa ishu ni kwamba ukikamatwa tu ukiwa umevaa mlegezo unatozwa dolar 25 hadi 50 ambayo kibongo bongo ni zaidi ya 40,000 na 80,000 ingawa sasa haijajulikana vipimo gani atakavyokuwa anatumia kujua kama huu ni mlegezo au sio wenyewe.
Ingawa kwa hesabu aliyoisema ni kwamba adhabu hii itawahusu wale wanaoshusha suruali zao kwa nchi 3 kutoka kiunoni ambapo meya huyo amechukua hatua hiyo baada ya kuona mavazi hayo hayako sawa
Tags
mTAANI KWETU