Msanii nyota wa kike, Keisha ajifungua mtoto wa pili wa kiume..



Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.

Akizungumza nasi  leo, Keisha amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.
  
“Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,”amesema.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post