RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014picha na ikulu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post