Track ya Shetta akimshilikisha Diamond ijulikanayo kwa jina la KELEWA, Video yake inafanyika Africa ya kusinichini ya Director mkubwa kabisa ambae amefanya Video nyingi za wasanii wa Nigeria na South Africa.
Kwasasa Shetta na Diamond wako inchini South africa kwa Shughuli nzima ya Video lakini pia Diamond ameenda katika Tuzo za MTV zijulikanazo ka MAMA ambazo zitafanyika Wikend hii akiwa kama mshiriki katika Tuzo hizo.

0 Comments