DUH! HII KALI

Kila Anayenitongoza Namwona Hafai





Naamini wote mu wazima wa afya.
kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.


Mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.


Hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

Mimi binafsi mmmh! badoooo sijapata cha kufanya lakini kama wewe umeona kitu au unacho cha kumwambia huyu dada 

Please! contact me au toa mawazo yako hapo chini....

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post