Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16,
Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC

Cassim Mganga na Aunty Ezekiel wakipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama
Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
Tags
Udaku