
Katika maisha yangu yoote sijawahi sikia hata siku moja wanaume wanafanya vitu vya ajabu kama wanavyofanya dada zetu hawa jamani, hebu kuweni wastaarabu basi..

Sasa kupiga picha za ajabu japo ilikuwa kama ni aibu na ni ajabu sana mkiziona kwenye mitandao lakini sasa kinadada wameona nooo! hata sio ajabu kufanya upumbavu kama huo, bado tu wanaendelea kupiga picha zisizoeleweka na kuendelea kuziupload kwenye mitandao ya kijamii bila hata aibu..

hivi mnajisikiaje ukiona mwanamke mwenzako anaonesha sehemu zake kama hizi ?, you are the one who can chenge them if so convbic them to change...


ni ujinga tyuuuuuuuuuuuu
Tags
ujinga