humphrey the GREAT

Kundi ilo linaoneka ni gumu zaidi kwani linajumuisha mimba ya soka barani Afrika TP Mazembe na timu ya Mo Bejaia ya Algeria pamoja na Medeama ya Ghana ambazo zote zinatoka katika nchi zenye kiwango kikubwa zaidi cha soka.
Yanga SC wapo kundi A na itaanza kampeni zake kwa kupambana na Mouloudia Olympique Bejaia nchini Algeria Juni 17.
Yanga imepangwa katika kundi lenye TP Mazembe, Mo Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana katika Kombe la Shirikisho
Yanga imepangwa katika kundi lenye TP Mazembe, Mo Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana katika Kombe la Shirikisho katika droo iliyofanyika nchini Misri.Kundi ilo linaoneka ni gumu zaidi kwani linajumuisha mimba ya soka barani Afrika TP Mazembe na timu ya Mo Bejaia ya Algeria pamoja na Medeama ya Ghana ambazo zote zinatoka katika nchi zenye kiwango kikubwa zaidi cha soka.
Yanga SC wapo kundi A na itaanza kampeni zake kwa kupambana na Mouloudia Olympique Bejaia nchini Algeria Juni 17.
Ratiba ya kundi la Yanga ni
KUNDI A:
Juni 17, 2016
MO Bejaia Vs Yanga SC
TP Mazembe Vs Medeama
Juni 17, 2016
MO Bejaia Vs Yanga SC
TP Mazembe Vs Medeama
Juni 28, 2016
Yanga SC vs TP Mazembe
Medeama Vs MO Bejaia
Yanga SC vs TP Mazembe
Medeama Vs MO Bejaia
Julai 15, 2016
Yanga SC Vs Medeama
MO Bejaia Vs TP Mazembe
Yanga SC Vs Medeama
MO Bejaia Vs TP Mazembe
Julai 26, 2016
TP Mazembe Vs MO Bejaia
Medeama Vs Yanga SC
TP Mazembe Vs MO Bejaia
Medeama Vs Yanga SC
Agosti 12, 2016
Medeama Vs TP Mazembe
Yanga SC Vs MO Bejaia
Medeama Vs TP Mazembe
Yanga SC Vs MO Bejaia
Agosti 23, 2016
TP Mazembe Vs Yanga SC
Mo Bejaia Vs Medeama
TP Mazembe Vs Yanga SC
Mo Bejaia Vs Medeama
Tags
Michezo na burudani