humph the GREAT
Stori
kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye
kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond
Platnumz pia alichaguliwa kushiriki,
ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa
Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi
nafasi kwa tuzo ya Afrika.Kwenye
exclusive interview na millard, Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika
imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na
wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa
peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale
kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’
Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz.

Stori
kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye
kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond
Platnumz pia alichaguliwa kushiriki,
ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa
Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi
nafasi kwa tuzo ya Afrika.Kwenye
exclusive interview na millard, Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika
imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na
wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa
peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale
kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz.

Tags
Burudani