Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Billioni 35 zimeishawishi Southampton kumuachia mkenya ajiunge na Spurs

humph the GREAT
    
Kiungo wa kimataifa wa Kenya anayeichezea klabu ya Southampton Victor Wanyama, jina lake leo June 21 2016 limerudi kwenye headlines tena katika magazeti ya England, Wanyama ambaye kahusishwa kujiunga na Tottenham Hospurs kwa muda sasa, amethibitika kufanya vipimo vya afya leo ili ajiunge na Spurs.
Victor Wanyama anaripotiwa kuwa amefanya vipimo ili ajiunge na Tottenham Hotspurs, baada ya klabu yake ya Southampton kukubali dau la uhamisho wa pound milioni 11 ambazo ni zaidi ya Bilioni 35 za kitanzania.

2FA0092700000578-3651519-image-a-135_1466464856255            Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Kenya anatarajia kutangazwa rasmi kusaini Tottenham muda wowote kutokea sasa, Tottenham imepanga kumpa mkataba wa miaka minne Wanyama. Dili la Wanyama kujiunga na Tottenham litamfanya apate nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

 de3