humph the GREAT
Jina lake kamili ni Abraham Attah na umri wake ni miaka 25 tu, umaarufu wake ulikuwa mkubwa baada ya kuonekana kwenye movie ya Beasts Of No Nation ambayo ndani aliigiza pia mwigizaji maarufu wa Marekani Idris Elba.
Movie mpya atakayoonekana Attah ni Spider-Man: Homecoming ambayo inaanza kutengenezwa muda wowote kuanzia sasa na itayafikia majumba ya Cinema July 2 2017 ndani yake kukiwa na mastaa kama Hannibal Buress, Logan Marshall-Green, Donald Glover, Zendaya and Tony Revolori.
Unaweza kumtazama Attah alichofanya kwenye BEASTS OF NO NATION kwenye hii Trailer hapa chini akicheza kama Mwanajeshi mtoto.
https://youtu.be/2xb9Ty-1frw
https://youtu.be/2xb9Ty-1frw
Jina lake kamili ni Abraham Attah na umri wake ni miaka 25 tu, umaarufu wake ulikuwa mkubwa baada ya kuonekana kwenye movie ya Beasts Of No Nation ambayo ndani aliigiza pia mwigizaji maarufu wa Marekani Idris Elba.
Attah
kwenye kazi ya uigizaji pamoja na Idris Elba, kipaji cha mtoto huyu wa
Ghana kiligunduliwa na Muongozaji wa filamu wakati wa mechi moja ya
mpira wa miguu huko Ghana.
Unaweza kumtazama Attah alichofanya kwenye BEASTS OF NO NATION kwenye hii Trailer hapa chini akicheza kama Mwanajeshi mtoto.
https://youtu.be/2xb9Ty-1frw
https://youtu.be/2xb9Ty-1frw
Tags
Burudani