JUSTIN BIEBER BAADA YA KUACHANA NA SELENA GOMEZ HUYU NDIYE MPENZI WAKE WA SASA

humph the GREAT




Hivi karibuni pop staa Justin Bieber ameonekana kuwa na ukaribu usio wakawaida na mwana dada Hailey Baldwin na kupelekea mapaparazi kupigia mstari kuwa ni wapenzi.

Wakati huu wa wa sikuku Justin alisafiri na familia yake kwenye visiwa vya Caribbean na kumchukua binti huyu ambaye wakati wanaondoka kwenda kwenye ndege yao binafsi walionekana kutokuwa na raha katiyao.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post