humph the GREAT
STAA wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema haoni tatizo kuchangia mwanamke na mwanaume mwenzake kwani siyo dhambi kwake.
Akichonga na gazeti hili, Nay alisema aliwahi kutoka kimapenzi na msanii wa filamu, Jacqueline Wolper angali akijua kwamba amewahi kutoka na rafiki yake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na hakuona kinyaa chochote kwani ni kitu cha kawaida kwa upande wake.
“Mwanamke ni kama halua kwani haina makombo hivyo kumchukua mwanamke ambaye amewahi kuwa na mtu ninayemfahamu huwa sioni tatizo wala siyo dhambi kwangu ni kitu cha kawaida kabisa kisichoweza kuumiza kichwa maana kila mtu ana tabia zake,” alisema Nay.

Tags
Udaku