humph the GREAT
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe Pudensiana Protas
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Njombe Kamanda wa Polisi
mkoani humo Pudensiana Protas amesema kuwa vijana hao wawili walikuwa na
pikipiki ambapo polisi wakiwa doria katika kijiji cha Kitandililo
wilaya ya kipolisi Makambako waliwakamata vijana hao baada ya kuwatilia
shaka.
Kamanda Protas amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Emanuel Lyabonga na Thomas Mhomba wakazi wa Iringa na kwamba wamekamatwa na jeshi hilo wakiwa na pikipiki yenye namba za usajili MC 916 AWN.
Kuhusu thamani ya meno hayo Protas amesema kuwa wanasubiri wataalamu kutoka Idara ya maliasili ili kutambua thamani yake huku akitoa wito
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia vijana wawili wakazi
wa mkoa jirani wa Iringa wakiwa na meno sita ya Tembo yenye uzito wa
kilo 13.6 ambayo walikuwa katika harakati za kutafuta wateja.

Tags
HABARI