Wema Kuzindua Bidhaa Yake mpya na kueleza jinsi itakavyokuwa inapatikana

humph the GREAT

Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu  kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.
Sasa leo August 16 2016 kupitia millardayo.com & Ayo TV  kazungumzia kuhusu bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na kuyaongea haya>>>Mimi naweza kusema kwamba idea imetoka kwa Mama  kwamba anapenda sana vitu vya asili ukienda nyumba kwa Mama yangu utakuta viatu vyake vingi vya kimasai na hii ni idea yake’

WS32444

‘Baada ya hapo tukaanza kutafuta Jinsi ya kutengeneza za kwetu mwisho wa siku tukapata sample nzuri kwahiyo ni kitu ambacho nimemfanyia Mama yangu’- Wema

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post