Picha za Mwisho za Marehemu Shakila Mjini Dodoma

humph the GREAT
 Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka huu. 
 Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana.
Akitafakari jambo.
(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post