Vinyago vya Trump Vyasambazwa Marekani

humph the GREAT
Ufuatao ni mkusanyiko wa picha kutoka Marekani unaoonyesha vinyago vya utupu vya mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump vilivyowavutia sana wapita njia huku wengine wakipata selfie na vinyago hivyo.
Vinyago hivyo vimewekwa maeneo mengi ya miji ya New York, Los Angeles, Seattle, San Francisco na Cleveland nchini Marekani jana Alhamisi.
Baadhi ya vinyago hivyo vinaonyesha sura na sifa halisi ya mwanasiasa huyo wa Marekani.
 2 
3 
4 
5 
6 
7 

8

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post