Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Yanga yashinda bao 1-0 dhidi ya Mo Bejeia

humph the GREAT
13827400_119294115183932_1147416881_n
     Straika mpyawa Yanga, Obrey Chirwa (katikati) akiwatoka wachezaji wa Mo Bejaia.
13649128_1637850253196269_578155552_n
Kikosi cha Mo Bejaia wakipasha kabla ya mechi.
13658691_193331527749565_1712444849_n
Kikosi cha Yanga wakipasha kabla ya mechi.

TIMU ya Yanga imeshinda bao 1-0 dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria katika Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam  na kufikisha point 4.  Bao la Yanga limefungwa kipindi cha kwanza Dakika ya pili na Amissi Tambwe.
Kikosi cha Yanga SC; Deo Munishi ‘Dida’, Juma Abdul/Said Juma ‘Makapu’ dk46, Mwinyi Mngwali, Andrew Vincent ‘Dante’/Kevin Yondan dk17, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Obrey Chirwa na Deus Kaseke/Juma Mahadhi.
MO Bejaia; Chamseddine Rahmani, Ismail Benettayeb, Faouzi Rahal, Sofiane Khadir, Soumaila Sidibe, Zakaria Bencherifa, Mohamed Yacine Athmani, Morgan Betorangal, Sofiane Baouali, Amar Benmelouka na Kamel Yesli.

Post a Comment

0 Comments