Aliyemtoa Baraka Da Prince Kimuziki Afunguka ya Moyoni Baada ya Kuchukuliwa na RockStar 4000

humph the GREAT


 
Aliyemtoa Baraka Da Prince kupitia rekodi yake ya Jitunze 'Kidbway' ameongelea uhamaji wa Baraka kwenda RockStar 4000 nakusema ni njia nzuri kama
atafikia malengo aliyojiwekea.

KidBway anasema "Nitafurahi akifikia yale malengo niliyokuwa nayo kichwani wakati naanza kufanya naye kazi, hata kama atayafikia kwenye njia tofauti na nilizoona mimi ,nitafurahia kwa mafanikio yake kama ndio njia itakayomfikisha"

Pia Kid amesema "Muda mwingine unatakiwa kujitoa hata kama utaumiza watu ili ufanikiwe, siwezi mtakia mabaya,sio vizuri kumuombea mtu vitu vibaya".

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post