Wavulana Ma-handsome hawana lolote Kitandani,,, nikuchafuana tu

humph the GREAT


 

Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda. na ni mbaya zaidi mtu akijijua kuwa yeye mni mzuri tuu, vilevile inakuwa kwa baadhi ya wanawake wenye shape na sura nzuri pia hao huwa wanajiamini kutoka na na shape na sura zao kwamba kwa kuwa yey ni mzuri lazima tuu atapendwa licha ya kuwa kitandani ni mvivu... pia kuna utofauti katika haohao wanawake wenye shape ambao wapo wanaofanya ili kumridhisha mwanaume licha ya kuwa hata kama akiaachwa hakosi wa kumpenda.

Kundi la pili.....Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi lahawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post