Mama wema sepetu mambo mengine waachie vijana

humph the GREAT
Katika hali ya kawaida mama ni mtu muhimu sana na anaetakiwa kumpa sapoti mwanae kwa kila swala analofanya kama tuu halivuki mipaka ya maadili yetu ya tanzania..
Wema sepetu akiwa na mama yake
 


Ni tofauti sana kwa dada etu na mpenzi wetu kuwa benneti na sana mama yake bila kujali ni jambo gani wanalifanya na ni kwa wakati gani maana kuna mambo ambayo mama kama mama anatakiwa apate pia muda WA KUPUMZIKA, tofauti ipo hivi kwa sasa dada yetu wema sepetu anapomchukua mama yake mzazi na kumtembeza usiku kucha katika programu ambayo ipo chini ya mwanadada huyo iitwayo USIKU WA VIGOMA, si vizuri kwa mtoto wa kike kutoka wakati wa usiku na akiwa na mama yake mzazi wakati ingewezekana kabsa mama akakaa nyumbani na kupumzika. 

Tofauti nyingine inakuja kutoka kwa ex wake wa zamana bwana nassib abdul, diamond yeye hutoika na mama yake katika shughuli muhimu ambazo ni za haki mama yake kuona mwanae anavyoendelea na ni muhimu kwake kwani ana haki ya kufurahia maendeleo ya mwanae kipenzi

 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post