vikwazo tena south korea

humph the GREAT

Umoja wa Mataifa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo

  • Saa 8 zilizopita
Mtangazaji wa runinga wa Korea Kaskazini akisoma habari
Baraza la usalama la umoja wa mataifa linatarajiwa kuanza kuweka vikwazo mpya dhidi ya Korea Kaskazini katika kujibu jaribio la silaha za kinyuklia lililotekelezwa na Pyongyang.
Korea kusini inasema itahimiza kuwekwa kwa vikwazo dhabiti ili kuizuia Korea Kaskazini.
Korea Kaskazini imefanya majaribio mawili ya nuklia mwaka huu
Image captionKorea Kaskazini imefanya majaribio mawili ya nuklia mwaka huu
Serikali za Marekani na korea kusini zimeanza kufanya uchunguzi wa hewa na bahari kuchunguza athari ya vifaa vya mionzi vilivyotumika katika jaribio hilo, na kubaini ni silaha gani iliyofanyiwa majaribio.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lilikutana na kutoa taarifa ya kuikosoa vikali majaribio hayo ya Korea Kaskazini.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post