humph the GREAT\
II
Faida na hasara ya kutumia mitandao ya kijamii.
Faida
Mitandao ya kijamii inasaidia watu kutengeneza mahusiano mapya kati na ndugu marafiki na pia inaongeza mawasiliano kati ya mtu na mtu.
Mitandao ya kijamii sasa imefungua mlango mpya wa habari kwa kuwafanya watu waweze kutuma ujumbe mfupi wa maandishi bure, , sambamba na kubadilishana picha na habari mbalimbali kupitia mitandao hii ya kijamii
Mitandao ya kijamii imesaidia kuwaleta watu pamoja wenye mitizamo inayofanana. Mitizamo ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, kimapenzi,
Ni rahisi
Hasara za mitandao ya kijamii:
Mitandao ya kijamii imewafanya watu kutumia muda mwingi kuwasiliana mitandaoni na kuwafanya kuwa wazembe sana kuwasiliana uso kwa uso.
Vijana wengi wanaoibukia kwa sasa hasa wenye umri kuanzia miaka 13 wako kwenye wakati mgumu sana kuathirika na matumizi ya mitandao ya kijamii na hivyo baadhi kutofanya vizuri katika mitihani yao
utoaji mwingi wa taarifa za mtu binafsi inaweza kabisa kumfanya mtu kuwa muhanga wa mapenzi au wizi wa fedha na ujangiri mbali mbali mitandaoni. Watu wanatumia taarifa hizo kufanya uharifu.
Kwa hiyo vijana wanatakiwa kuwa makini na taarifa zao wanazoziweka mitandaoni. Hii inaweza kusababisha hata mtu kufukuzwa kazi kama mtu anaweza kutoa taarifa fulani za mwajiri ambazo zinaweza kuleta mkanganyiko kwenye taasisi fulani.
Mitandao ya kijamii inawafanya watu wengi kutumia muda mwingi na kushindwa kufanya kazi zingine.
Inaweza kumchafua mtu ama kumkashifu ,ikiwemo kuwekewa picha za utupu ,kuzushiwa jambo ambalo hajalifanya.
Swali la pili
Umejifunza nini siku ya leo na mambo gani mapya ulikuwa huyafahamu na yatakusadia vipi kuboresha kazi ya uandishi wa habari.
(I) Katika kuhakikisha usalama wa teknolojia ya habari niliyojifunza ni kuwepo kwa matishio katika programu hivyo sipaswi kutoacha kompyuta inawaka muda ninapoondoka lazima nihakikishe nazima kwanza .
Ii Kutumia barua pepe yenye usalama wa kuhifadhi taarifa muhimu ambazo ni nyeti
Iii Nimejifunza namna ya kuwekea neno la siri kazi zangu,namna ya kuficha mafaili , ili mtu asiingie kufanya udukuzi wa nyaraka zangu . Na namna ya kufungua user name.
Ambayo sikuyafahamu kabisa ni spyware , Kundi la programu za kompyuta ambazo zina uwezo wa kufuatilia kazi za mtu katika na kupeleka taarifa kuhusu kazi unayofanya kwa mtu mwingine ambaye hahitajiki kujua kile unachokifanya
Kingine ni madhara ya kufungua meseji zilizoingia , kwenye email yako ambazo hauzijui au kufanya attachment inaweza kuleta virus wengi kwenye kazi zako na hatimaye baadhi ya mafaili kutafunwa. Kwa hiyo lazima kuhifadhi kwanza attachment ili kupunguza uwezekano wa kuambukizwa virusi.
Suala la kuupdate mara kwa mara antivirus ni muhimu ili kuendelea kulinda kazi zako.
.
Kutokana na kurasa shambulizi za kwenye tovuti kuwa chanzo kikuu cha kushambuliwa kwa komputa na spyware unapaswa kuwa makini katika kutembelea .
Firewalls window defender.
Ni programu ya kwanza katika kompyuta ambayo inaona taarifa zinazokuja kwenye intaneti pia ni programu ya mwisho kushughulikia taarifa kabla hazijatumwa na intaneti.
Pia inafanya kazi kama mlinzi inapokea kukagua na kutoa maamuzi .
mashambulizi ya kimazingira physical threat .
bila kujali komputa yako ina ulinzi kiasi gani ,kuna wakati unaweza kukuta kompuyuta nzima au nakala za taarifa zimepotea kuiibiwa au kuharibiwa .
unahitaji kuwa na sera ya wazi ya kulinda komputa yako na vifaa vya kuhifadhia taarifa kutokana na wezi ,kufuli nzuri madirisha .
Jenga eneo la mapokezi ambapo wageni wanaweza kupokelewa kabla hawajaingia ofisini na chumba cha kukutania ambacho ni tofauti na chumba chako cha kazi.
Hifadhi nyaya za mawasiliano ya intaneti kwa kuhakikisha zipo ndani ya ofisi .
Fungia vifaa vya mtandao katika chumba salama au kabati kama vikiwa wazi wenye nia mbaya wanaweza kuingiza program mbaya ambazo zinaweza kuharibu taarifa zako au mtandao wa komputa.
Mtandao usiotumia nyanya wireless network unapaswa kutoruhusu wengine kuingia kiurahisi.
Linda komputa yako kwa kutumia neon la siri .
Usiache nakala moja tu ya taarifa zako kwenye komputa
Fungia kompyuta yako kwa neon la siri kila unapoondoka kutoka kwenye kompyuta.
Hakikisha unakuwa na vifaa vinavyohamishika kiurahisi ikiwa ni pamoja na laptop ,simu za kiganjani na vinginevyo wakati wote.
Usionyeshe laptop na vifaa vingine kwa wezi.
Hakikisha neno la siri ni refu ,jinsi neno la siri linavyokuwa refu ndivyo inakuwa vigumu program
Neno la siri linapaswa kuwa gumu kufikiri.
Usilifanye liwe na uhusiano na wewe ,usichague jina lako ,tarehe ya kuzaliwa ,namba ya simu ,jina la motto au kitu chochote kile ambacho mtu anaweza kufikiri na kukitumia .
Unatakiwa kichwani bila kuandika mahali .
Lifanye liwe siri yako ,usishirikiane na mtu yoyote neno lako la siri labda iwe muhimu mno.
Lifanye liwe la kipekee ,usitumie neno la siri katika kila anuani yako ya barua pepe.
Fanya neno la siri kuwa jipya wakati wote ,badili neno lako la siri mara kwa mara pengine mara moja katika kila miezi mitatu.

Tags
Je wajua ?