humph the GREAT
Jana ilikuwa ni siku ya sikukuu ya kusheherekea sikukuu ya kristmas, ilikuwa furaha iliyoje kwa wakaz na wadau wanaosapport muziki wa kizazi kipya kwan vodacom waliwapelekea tiu nzima ya wcball the way fromdares salaam mpka kufikairinga town, zifuatazo nibaadhi picha za tukio hilo
Usiku huo waliouita ni usiku wa VODACOM WASAFI FESTIVAL timu nzima ya wcb wakiomgwa na diamond platnum walihusika sana, alikuwepo Rich mavoko, Rayvanny, Haromnize, Q boy msafi, Queen darlin na baadhi ya wasanii wengina wa kutoka iringa na mikoa ya jirani walihusika kinoumaa lakini pia kulikua nabongela suprise la wasanii kutgoka nje ya nchi Kcee alikuwepo pia stegini lakini pia chege chigunda
Diamond platnumz stageni akifanya yake
Queen darling pia alitishaa
dj nass pia alihusika saana
Rayvanny
Harmonize akifanya yake
mkuu wa wilaya iringa mjini alihusika
chege chigunda akifanya yake stejini
Simbaaaaaaaaaaa

Tags
Burudani