humph the GREAT
December 24 2016 timu nzima ya WASAFI ikiongozwa na Diamond Platnumz ilifanya show ya kufunga mwaka Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na Nigeria walihudhuria kunogesha upendo.

Shilole

Beautiful ladies kwenye upande wa V.I.P

Rayvanny, Shilole, Diamond na Rommy Jones

Vera Sidika na friends pamoja na Aika wa Navy Kenzo na Rosaree kutoka The Industry.

Mrembo wa Kenya Vera Sidika (katikati) akiwa na friends

Mnigeria Kcee kwenye stage

Shadee wa Clouds ( wa kwanza kulia) kwenye pjcha na Dj Vasley

Rich Mavoko, Asma na friends

Dj Ommy Crazy
Tags
Burudani