humph the GREAT

Awezi kumwambia mpenzi wake moja kwa moja amfanyie
1. Meseji ya kumjulia habari ya asubuhi/usiku
2. Kupiga picha pamoja
3. Kumtembelea & kumpelekea chakula apendeleacho
4 Wanapenda kumbatio la kweli la mda mrefu (Hug)
5. Kucheza pamoja music wa taratibu (Slow dance)
6. Kuonewa Huruma
7 Kumwimbia wimbo aupendao (Her favorite song) even if upo nje ya tune.
8 Majadiliano ya kiundani (Convesations)
9 Majadiliano yasiyo na maana lakini yawe ya kuchekesha (Nonsense but funny conversations)
10Kuwa naye karibu na kumbembeleza akiwa katika huzuni
11 Kumwambia kiasi gani unampenda
Naomba wana MMU, wenye kufahamu nyingine muongezee.
Tags
Je wajua ?