Haya ndio majibu ya FIFA kuhusiana na Rufaa ya SIMBA

humph the GREAT

Image result for fifa logo                       

Baada ya simba kukata rufaa kuhusiana na ushindi ambao wapinzani wao wameupata na kuifanya kesi hii kufika mbali zaidi FIFA watoa yao ya moyoni

Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo.
Hivyo, kwa majibu hayo ya Fifa, Yanga wanaendelea kubaki mabingwa wa Ligi Kuu Bara na Simba wakiwa katika nafasi ya pili.

Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo

 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post