humph the GREAT
bingwa malika wa uigizaji kutoka katika tasnia ya filaamu tanzania aliyewahi pata umaarufu kupitia filamu kadhaa ambazo alizifanya vizuri Jackline uwoya aeleza sababu za kwnini yeye hadumu kwenye mahusiano kwa kila mwanaume atakaye bahatika kuwa naye..
“Mimi ni kama nina kipaji cha kukomeshwa kwenye mapenzi kwa sababu kipaji ninachokivumbua mimi wenzangu wanataka wapite hapo hapo ili kunikomoa. Ni kwamba nina kipaji cha kukomeshwa lakini huyo anayenikoa unakuta hajui mimi nimepambana vipi kumtengeneza mtu anipendae” alisema Wolper.
Wolper ambaye ametoka kuachana na msanii nguli mwuimbaji aneyemilikiwa na the king of pop tanzania DIamond platnmz, Harmonize anadai ni kweli kwamba ameachana na harmonize sio muda mrefu sana sio kwamba anapenda kuwa na wanaume kila leo mwingine ila huwa inamtokea tuu hali hiyo na kushindwa kujizuia..

Tags
Udaku