PICHA: Msiba wa Ivan kuvunja Rekodi

humph the GREAT


Timu nzima za Habay all info na millardayo zinafatilia kila kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz, Ivan alifariki wiki iliyopita Afrika Kusini akiwa kwenye matibabu ya kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Nimekukusanyia hizi picha 20 kutoka Kayunga Kampala, nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga ambako atazikwa.

Baba mzazi na dada yake Zari wakiongea na ripota wa AyoTV

Moja kati ya magari ya kifahari Hummer alilokuwa akilimiki 
Mfanyabiashara Ivan Don

Kaburi ambalo mwili wa Ivan Semwanga The Don utazikwa kijijini kwao 
Kayunga Kampala Uganda

Kilichoandikwa na moja ya magazeti ya Uganda kuhusu kifo na utajiri wa Ivan Don.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post