Trump chanzo Dola kushuka Marekani

humph the GREAT
 Related image 
Nadhani takwimu tulizopata kutoka mkutanoni inaonyesha vigezo," anasema Faucher, huku wachumi wakieleza shaka yao dhidi ya hali halisi ya sera za Rais mpya, Donald Trump.

Inaelezwa kwamba katika kipindi kifupi kilichopita, tangu Machi mwaka huu, serikali iliongeza kiwango cha riba zake mara tatu.

Pia, katika sura nyingine, inaelezwa kuwa benki zimeendelea kuwa imara katika majukumu yake ya kila siku.

Kwa miaka mingi na katika sehemu nyingi, Dola ya Marekani imekuwa marejeo cha kiwango cha mabadilishano katika fedha za dunia.

Pia, kuna fedha kama za Euro ambazo ni za Jumuiya ya Ulaya (EU) na Pauni za Uingereza, nazo zimeshika nafasi hiyo .

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post