humph the GREAT
Raisi Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na msafara wake leo wamewatembelea wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wodi la mwaisela katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kutoa yake ya moyoni kwa kuwashukuru na kuwapa moyo Madaktari pamoja na wauguzi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kunusuru maisha ya watu
Raisi Magufuli amewatembelea wagonjwa hao hospitalini hapo mara tuu baada ya kutoka kanisani katika kanisa la Mtakatifu Petro OYsterbay ambapo ndipo alipohudhuria ibada takatifu.
Miongoni mwa wagonjwa waliopata bahati ya kujuliwa hali na mheshimiwa Raisi ni Pamoja na Mzee Francis Maige kinyasu "Ngosha" Aliyelazwa katika chumba namba 310 na mtoto Shukuru aliyelazwa katika chumbba namba 312
Mtoto huyu shukuru ni mtoto yule alieugua ugonjwa usiofahamika ambao ulikuwa unamplelekea kuishi kwa kula mafuta ya kula sukari na chumvi Raisi magufuli ametoa pole zake pamoja na mke wake Mama Janeth na kuwasisitiza wagonjwa hao kuendelea kufuata utaratibbbu muhumia ambao umewekwa na Madaktari ambao wanaendelea kuwahudumia...
"Asanteni sana Madaktari na wauguziwote ambao mnaendelea kufanya kazi kwa moyo na kwa nguvu zenu zote nina imani mungu wangu atawasaidia maana kila siku nwaombea sana muwe na nguvu na uwezo pia lakini pia nwaombeni sana kumbukeni kumtanguliza mungu katika kilia shughuli mnazozifanya kwani yeye ndio muweza wa yote pamoja na kuniombea kwani najua kuna changamoto nyingi sana ambazo mnakutanazo na zinatakiwa kutafutiwa utatuzi hivo mimi na serikali yangu tunajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha kuwa tunazimaliza changamoto hizo ili na ninyi mfanye kazi kwa kujitoa pasipo changamoto yoyote itakayowafanya muone kazi ya uuguzi ni ngumu" Alisema Rais Magufuli