humph the GREAT
OFA OFA OFA OFA OFA YA PRESIDENT WIFE, IMERUDI TENA
JIPATIE
KITABU CHA PRESIDENT WIFE kama BADO hujafahamu kitabu hichi ni
muendelezo wa story ya SORRY MADAM(Destination of my Enemies) kwa SH
10000/= huku kitabu hicho kikiambatana na OFA ya kitabu cha HARD DAY
bureee kabisa.
PRESIDENT WIFE
"Baada
ya utawala wa mzee GODWIN na MANKA kutolewa madarakani na EDDY DODWIN,
adui mkubwa wa Eddy, JOHN anachukua madaraka ya Mzee Godwin na kuapa ni
lazima ataamuangamiza Eddy aliye kuwa rafiki yake wa kipindi kirefu toka
wakiwa sekondari. Rahab anaongoza nchi huku kijana machachari Adrus
akiwa mlinzi makini kuhakikisha maisha ya mke wa raisi yanakuwa salama,
ila K2 na kaka yake wanajawa na uchu wa madaraka na kuhakikisha kwamba
wanauangusha uongozi wa Raahab, ila Eddy anasimama kama ngao na
kupigania uongozi wa Rahab je atafanikiwa"
Ungana nami muandishi wako Eddazaria G.Msulwa katika hadithi hii ya kusisimua
Ukihitaji
kitabu wasiliana nami kupitia WhatsApp 06570725888. Email
eddazariaM@gmail.com. Kwa watumiaji wa Facebook nanyi munaweza kukipata
kupitia inbox zenu kwa jina la @StoryZaEddy-tz Kwa maelezo zaidi
wasiliana nami moja kwa moja kwa simu namba 0657072588 au 0768516188
Tags
Hadithi & Simulizi