Hii ndio Hatma ya Josee mourinho Man u

humph the GREAT
  
Jose mourinho kocha wa man u

 
Kocha Jose Mourinho akipongezana na Ed Woodward (kushoto) baada kuweka wino mpya.
Kocha Jose Mourinho sasa ataifundisha Manchester United hadi mwaka 2020.
Mourinho raia wa Ureno ameongeza mkataba huo wa miaka mitatu kwa mwaka mmoja zaidi.
Pamoja na kwamba mashabiki wamekuwa wana hofu huenda ataondoka lakini uongozi unaonekana kumuamini zaidi.
VIKOMBE ALIVYOBEBA AKIWA NA UNITED:
Community Shield (2016)
League Cup (2016-17)
Europa League (2016-17)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post