Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
Samike (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU baada ya kumkabidhi Wastara fedha hiyo.
Katibu
wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU
baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na
mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia aliwasilisha
mchango wa sh milioni moja na laki tisa toka kwa wasaidizi wa Rais.
SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake
uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
0 Comments