Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Matokeo ya kidato cha nne yatangazwa rasmi

humph the GREAT

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne na shule zilizofanya vizuri kwa mwaka 2017 ambapo Jumla ya watahiniwa 385,767 walisailiwa kufanya mtihani.
Akitangaza matokeo hayo leo mbele ya waandishi wa Habari, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde ametaja shule hizo kuwa kuwa ni St. Francis Girls, Feza Boys, Kemebos, Bethel Saabs Girls, Anuarite, Marian Gilrs, Canossa, Feza Girls, Marian Boys na Shamsiye Boys.
Hata hivyo, Dkt. Msonde ametaja shule 10 zilizofanya vibaya katika mtihani wa taifa ni : Kusini, Pwani Mchangani, Mwenge, Langoni, Furaha, Mbesa, Kabugaro, Chokocho, Nyeburu na Mtule. 

Habay all info utakutumia matokeo tote Mara tuu baada ya kuachiwa mitandaoni rasmi usiache kuifuatilia. 

Post a Comment

0 Comments