Waziri Majaliwa ahudhuria kikao cha AU (+Picha)

humph the GREAT 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amehudhuria Kikao cha Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa aliwasili mjini Addis Ababa, Ethiopia jana kumwakilisha Rais Magufuli na ambapo akiwa huko alikutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, kwenye hafla ya miaka 100 ya kumbu kumbu ya Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post