Najua ulikosa hii

humph the GREAT

Zari awaka baada ya kuona picha ya diamond na hamissa wakiwa wamevaa sare


Baada ya zari kusikia maneno ambayo ilikuwa inasemekana diamond na hamissa mobeto bado walikuwa wana ukaribu Wa hali ya juu sasa alishuhudia mwenyewe wakati siku mbili kabla diamond alipost picha akiwa amevaa nguo ambazo hiyohiyo siku mbili mbele jamisa naye alipost akiwa ameivalia na kuandika maneno ambayo zari yeye aliyatafsiri Kama ni kebei kwake

Lakini kwa upande wake Zari yeye anadai hajali kwani anamjua mumewe hajatulia na wanaendelea kurekebishana taratibu na kwa upande mwingine haamini Kama ni nguo moja Bali anadai kuwa kila mtu alinunua kwa upande wake na muda wake akidai ile aliyokuwa amevaa diamond aliinunua mwenye wakati ameenda Dubai kikazi.. 


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post