BAADA YA ZARI KUANDIKA KUHUSU DIAMOND KUITWA GUEST MADALE HAYA NDIO MAJIBU YA DIAMOND

humph the GREAT
 zari Hassan(the bosslady) 

Diamond Platnumz azidi kuchukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya maneno yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ya kudaiwa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Tunda. Maneno hayo yameonekana kumfikia Diamond Platnumz.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post