• Home
  • About Us
  • Contact Us
Habay all info...
HomeHABARI

Jacob zuma apewa saa 24 za kujihudhuru

habayloveHabay all info -February 13, 2018
0
humph the GREAT
Wanachama wa ANC waliogawanyika
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.
Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama kimng'oe madarakani.
Lakini haijulikani bado kwamba Rais Zuma alipokeaje ujumbe huo.
Hatua hii ya ANC inaonekana ndio njia rahisi zaidi ya chama hicho kumng'oa rais Zuma madarakani badala ya kusubiri utaratibu wa bunge ambao ungeweza kuwa mrefu na wenye madhara zaidi kwa chama cha ANC.
Rais Jacob Zuma ambaye anakabiliwa na mashtaka kadhaa ya rushwa, alishindwa uongozi wa chama tawala Desemba mwaka jana.
Kiongozi mpya wa ANC, Cyril Ramaphosa anaongoza shinikizo za kumuondoa Zuma katika nafasi yake hiyo ya Urais, na hatimaye kushika pia nafasi hiyo.
Ramaphosa ameahidi pia kupambana na rushwa iliyokithiri na kukijenga upya chama cha ANC, wakati nchi hiyo ikielekea katika uchaguzi mwakani
Tags HABARI
  • Facebook
  • Twitter

You may like these posts

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Walionitembelea

Popular Posts

Je wajua ?

je wajua? hakuna makabila yenye wanawake wazuri kama haya...

habayloveHabay all info-September 28, 2019

PENZI LA SHEMEJI SNURA SEHEMU YA 02

September 21, 2016

M-PAWA Inazidi Kuwatajirisha Watanzania .....Mshindi Wa Pili Wa Milioni 20 Apatikana

September 21, 2016
Habay all info...

Search This Blog

Blog Archive

Blog Penda

  • Global Publishers
    China Yazindua Roboti za Mbwa Vita na Gari la Kijeshi la AI
    4 days ago
  • UDAKU SPECIAL BLOG
    Sitamani Kuwa Kwenye Nafasi ya FADLU, Wachezaji Wote Aliowataka Wameenda Kwa Mpinzani
    3 months ago
  • Official - Millard Ayo Website
    Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
    8 months ago
  • MPEKUZI
    Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
    3 years ago
  • MUUNGWANA BLOG
    VIDEO: Chama cha siasa sio genge la wapiga gunzo "Chaguzi zinaitishwa kama mvua lakini tutapambana"
    7 years ago
  • UBUYU
    Taarifa Ya Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Hali Ya Uchumi Na Utekelezaji Wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2017/18
    7 years ago
  • AJIRA YAKO
    Job Opportunities at United Nations Volunteers Tanzania
    8 years ago

Advertisement

Responsive Advertisement

Subscribe Us

Categories

Latest Posts

Popular Posts

Mpoto: Vijana hawana uzalendo na nchi yao kwa sababu hawaijui nchi yao

January 26, 2018

Je, wewe ni mshambuliaji wa kimo cha futi sita inchi moja? Unaweza kupata kazi Chelsea

January 24, 2018

Unamfahamu Kwame Nkrumah?

January 24, 2018
Design by Templateify | Distributed by Gooyaabi
  • Home
  • About Us
  • Contact Us
  • RTL Version

Contact Form